Tiba ya jino bila kung’oa

Tiba ya Jino Bila kung'oa

Usiteseke Meno au Jino linalouma, Tiba Hii Hapa!
Meno ni muunganiko wa mfupa wa jino, Fizi na Mishipa.

Maranyingi watu wengi huwa pale wanapoumwa na jino wanakimbilia kung’oa jino eti dawa ya jino kuling’oa jambo ambalo si kweli.Tambua ndugu yangu kuwa unapokwenda kung’oa jino unang’oa Mfupa sio Fizi wala mishipa ambayo hakuna madhara kwa bakteria ndio waasababisha jino kuuma. Tambua kuwa kwenye kinywa cha Mwanadamu kuna Bakteria wanaoishi mdomoni wanaitwa *NORMAL FRALER*. Bakteria hawa ndio wanaotengeneza ute wenye Acid unaolainisha chakula kwa haraka mdomoni. Na ndio kazi yao.

Lakini wanasababisha Uonjwa unaoitwa *GINGIVAITES*, Ugonjwa huu husababisha fizi kutoa Damu haswa unapopiga mswaki, lakini ukiachwa ukawa sugu unasababisha ugonjwa wake kuwa sugu na hujulikana kama *MACHODIFECE* Ugonjwa huu husababisha na hufanya meno kuoza, au kutoboka kutokana na bakteria *AFINOTOBALASAD* ndio wanaosababisha na huwa wanaingia ndani kwenye fizi kwa ajili ya kula damu.

Hapo ndipo Mtu hupatwa na tatizo la kuumwa na jino au meno.Ili kuondoa tatizo hili, ni lazima uwaondowe hao bakteria na si kong’oa jino kwani wadudu hao walivyo unapong’oa jino moja wao wanahamia jino jingine.

Tiba rahisi ya jino au meno yanayouma bila kung’oa wala kutumia dawa za Hospitali tumia mojawapo kati ya hizi hapa:

*TIBA* Tengeneza Juisi ya bilinganya (Bringal) jino linalouma au fizi zilizovimba:

Ponda ponda tangawizi mbichi kisha itie chumvi. Weka kwenye jino linalouma au fizi ilipovimba.

Saga majani makavu ya mint tengeneza unga wake, kisha tia chumvi na weka kwenye jino linalouma.

Saga karafuu kisha weka kiasi cha unga huo kwenye jino linalouma.

Pia kama una mafuta ya karafuu, chukua nyuzi za pamba (cotton wool) chovya kwenye mafuta hayo na weka wool hiyo kwenye jino linalouma.

Tiba hizi tunazo Majumbani kwetu lakini hatujui kuwa ni tiba, badala yake huwa tunakimbilia kung’oa meno *CHANGAMKA!

Related posts

Leave a Comment