UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

upungufu wa nguvu za kiume

UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NI NINI?

Hii ni hali ya kupatikana dalili za udhaifu katika tendo ndoa ambapo mtu hushindwa kufanya mapenzi kikamilifu au kushindwa kusimamisha uume vizuri.

Kwakuwa tendo la ndoa huhusisha hisia (emotions) na mwili, kupatikana athari kati ya vitu viwili hivi ndizo sababu kuu zinazopelekea tatizo la nguvu za kiume.

Tatizo hili ni kubwa, ambapo watafiti wanaripoti ya  kwamba wanaume wengi wenye umri kati ya miaka 35 na kuendelea ndio wanaosumbuliwa kwa kiasi kikubwa,

ambapo asilimia ishirini (20%) ya wanaume wanakabiliwa na tatizo hili.

Tatizo hili lina athari nyingi sana zikiwemo za kisaikolojia na kifamilia pia, ikiwemo kupelekea mahusiano kutokuwa imara na mara nyengine kuvunjika kabisa.

Hata hivyo tatizo hili linatibika na kupona kabisa kama mtu alieathrika na tatizo hili atakuwa tayari kufuata maelekezo vizuri yatakayo elezwa kwa upana hapo chini ikiwemo kuzifahamu sababu na taratibu za kulitibu tatizo hili.

upungufu wa nguvu za kiume

DALILI ZA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Kushindwa kabisa au kupatikana udhaiufu katika kusimamisha uume ni moja ya dalili za upungufu wa nguvu za kiume hii inaweza kusababishwa na maradhi yanayohusiana na mzunguko wa damu, sababu za kisaikolojia kama vile mawazo n.k

 • Kutokuwa na hamu na tendo la ndoa.
 • Kushindwa kurudia tendo la ndoa ikiambatana na kuwahi kufika kileleni haraka
 • Kupata udhaifu na uchovu wa mwili wakati wa tendo la ndoa

SABABU ZA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Zifuatazo ni sababu kuu zinazopelekea tatizo la upungufu wa nguvu za kiume :

 • Magonjwa:

Magonjwa kama vile kisukari, shinikizo la damu, kupooza kwa mwili (paralysis) n.k.

 • Umri mkubwa:

Wazee wenye umri mkubwa ni waathirika wakubwa wa tatizo hili.

 • Sababu za kisaikolojia (Emotional reasons)

Msongo wa mawazo (stress & depression), hasira na huzuni huchangia tatizo hili kwa kiwango kikubwa.

 • Vyakula:

Vyakula vya kemikali kama vile soda na vyakula vya mafuta pia sukari huchangia  kwa upande mwengine utumiaji wa vyakula vya asili na matunda kama vile parachichi  pamoja na unyawaji wa maji ya kutosha huimarasha siha na kukupa matokeo mazuri kwenye tendo la ndoa.

 • Pombe na uvutaji wa sigara
 • Kotokufanya mazoezi
 • Athari zinazotokana na madawa ya kemikali
 • Matatizo ya Majini (Mahaba):

Majini Mahaba humuingia mwanaadamu kwa lengo la kufanya nae mapenzi,

kama alivyo binaadamu wa kawaida majini wana wivu, kutokana na wivu humdhoofisha muathirika ili asifanye mapenzi na mtu mwengine.

 • Kuangalia picha za uchi (X) pia kuangalia wanawake walio vaa utupu
 • Punyeto
 • Kuwa bize sana kimwili na kiakili
  upungufu wa nguvu za kiume

TIBA (DAWA YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME)

Tatizo hili hutibiwa kulingana na sababu ya tatizo kama ilivyoelezwa hapo juu.

Zifuatazo ni baadhi ya hatua zinazoweza kuchukuliwa kukabili tatizo la nguvu za kiume kulingana na sababu ya tatizo:

 • Kufanya Mazoezi:

Mazoezi huimarisha afya ya mwili na akili, hivyo kuboresha uwezo wa kufanya tendo la ndoa.

 • Kuacha vilevi (pombe na sigara)
 • Kutumia madawa ya asili Zaidi kuliko kemikali
 • Kupumzika muda wa kutosha
 • Kutumia vyakula vya asili na matunda ikiwemo asali na parachichi
 • Kufanya ibada sana ili kuepuka majini mahaba (kama umeshaarika utibiwe)
 • Kuepuka kuangalia picha za xx na wanawake waliovaa utupu
 • Kujitahidi kuondoa mawazo, hasira na huzuni ikiwemo kusamehe alie kukosa

VYAKULA VINAVYOONGEZA  NGUVU ZA KIUME KWA HARAKA.

Vyakula tunavyokula vinamchango mkubwa katika kuimarisha nguvu za kiume, hivi ni baadhi ya vyakula vilivyothibitika kuwa na matokeo mazuri sana na ya haraka katika kuimarisha nguvu za kiume:

1.Ndizi Mbivu

Kuwa na stamina ni muhimu katika ufanyaji mapenzi. Ndizi ni chanzo kikubwa cha vitamini B ambayo husaidia sana katika kuongeza stamina na nguvu mwilini hasa wakati wa kufanya kazi nzito.

Ndizi ina kimeng‟enyo cha Bromelain ambacho huongeza nguvu za kiume na ashki ya mapenzi (libido).

Kwa matokeo mazuri , kula ndizi 2 hadi 3 zilizoiva kila siku.

2. Tikiti Maji

Ulaji wa Tunda hili pamoja na kutafuna kokwa zake mara kwa mara una matokeo mazuri katika kuimarisha nguvu za kiume.

3. Kitunguu Swaumu

Kitunguu saumu kina allicin, kiambato kinachosaidia mzunguko mzuri wa damu kwenye viungo vya uzazi. Kuwa na mzunguko mzuri wa damu kwenye uume ni sababu kubwa ya kuongeza stamina ya kufanya mapenzi.

Kwa ujumla vipo vyakula vingi venye mchango mkubwa katika kuongeza nguza kiume 

vikiwemo pia:

 • Siagi ya Karanga
 • Parachichi
 • Pilipili
 • Pweza
 • Maji ya Kunywa kwa wingi
 • Komamanga n.k

DAWA YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Wapo baadhi ya matabibu wamejitahidi kutengeneza madawa kupitia mimea mbali mbali ambazo zimethibiitika kuwa na matoke mazuri sana katika kukabiliana na tatizo hili.

Miongoni mwa dawa hizo ni Rijaalhii hapa :

Rijaali Dawa ya nguvu za kiume

Ahsante kwa kufuatilia mada zetu.

Tunakusihi uendelee kufuatilia kwani tuna kawaida ya kuandaa mada mbali mbali zinazohusu afya kupitia tiba asili.

Comment utuambie ungependa tuandae mada kuhusu nini.

Pia usisaha kushare na watu wengine kwa kubonyeza alama za mitandao ya kijamii hapo chini au pembeni ili na wao waweze kupata elimu hii.

Pia Blog yetu Inauza dawa za asili zinazotokana na miti amabazo hazina athari kiafya zenye matokeo mazuri sana kwa muda mfupi tafadha bonyeza Hapa kupata madawa hayo

Related posts

Leave a Comment