Uzazi wa mpango kwa kutumia kalenda

uzazi wa mpango kwa kutumia kalenda

Kufahamu kuhusu siku za kushika mimba ni muhimu sana kwa wale wanaotaka kupata mtoto na pia wale wanaotaka kudhibiti uzazi, Kupitia chapisho hili, nitakujuza hatua kwa hatua ni kwa jinsi gani unaweza kutumia njia ya kiasili ya kalenda kufahamu siku ambazo mwanamke anaweza kupata mimba na hivyo kufanya maamuzi sahihi. Nakusihi usome hadi mwisho na usiache kuuliza kwa ku comment kama kuna lolote unataka kufahamu zaidi, pia share kwa wengine na wao wapate faida. Kuhusu uzazi wa mpango kwa kutumia kalenda: Ili kuitumia njia hii kwa mafanikio makubwa unahitaji kujua…

FAHAMU KARANGA, MIHOGO NA NAZI

FAIDA ZA NAZI MIHOGO NA KARANGA

UMUHIMU WA KARANGA MIHOGO (MIBICHI) PAM0JA NA NAZI KATIKA MWILI WA MWANAUME KILA KIMOJA KINA FAIDA KATIKA MWILI WAKILA MWANADAMU LAKINI KWA WENGI WETU TUNA AMINI NI WANAUME TU ILAKINI KILA MOJA NA PASWA KUTUMIA NAZI KARANGA PAMOJA NA MIHOGO KILA KIMOJA KINA FAIDA FAIDA YA NAZI HUSAIDIA VIUNGO KUWA NA NGUVU PIA HUUPA UTUMBO NGUVU HUSAIDIA KWA ASILIA KUBWA KUPUNGUZA  UCHOVU FAIDA YA KARANGA (MBICHI) 1  Kuimarisha afya ya moyo2. Hupunguza kolestro mbaya mwilini na kuongeza kolestro nzuri.3. Mafuta mazuri yaliyomo kwenye karanga hupunguza shinikizo la juu la damu4.…

Haifa – Suluhisho la magonjwa Sugu ya Kina mama

Haifa Dawa ya magonjwa ya kina mama

Maelezo mchanganyiko wa dawa kubwa za asili zinazotibu maradhi sugu ya kina mama (mwanamke)– > kusafisha mfumo wa uzazi–> kizibua mirija ya uzazi-> kuondoa uvimbe kwenye mfuko wa uzazi-> hedhi zisizo na mpango mpangilio au zinazo ambatana na maumivu makalina homakutoshika mimba na ikishika ina poromoka (ina haribika)maumivu makali wakati wa tendo au kutohisi hamu kabisa Matumizi Tumia vijiko vidigo 2×2 ndani ya kikombe kimoja cha uji, maziwa , maji moto kwa siku

Rijaal – dawa ya kurejesha nguve za kiume

Rijali- Dawa ya Nguvu Za Kiume

rijaaltikisa kwanza kabla ya kutumia tatizo la kuishiwa nguvu za kiume husaba bishwa wingi wa mafuta mwilini kitaalamu ina itwa kolestol na piahuleta madhara ya ugonjwa wa moyo kisukari namaranyingi magonjwa husababisha tatizo hilojiepushe kula kupika kiasi ili uweze kupumua vizurijiepushe kutumia mafuta mengi katika chakula mafuta huleta magonjwa na maradhi mengi katika mwili dawa hii ya rijaali hupambana na maradhi mengi sanaina kinga na inatibuina punguza mafuta ya mwilimafuta ya lio shikan na mishipa ya damu na kutibu maumivu ya moyohutibu kibofu cha mkojo na kusafisha figo husafisha mwili…

TANGAWIZI NIKIUNGO NA TIBA KWAUJUMLA

TIBA ASILI

TANGAWIZI ni kiungo kinachotokana na mizizi ya mmea wa tangawizi. Mmea huu unafanana na binzari ikiwa bado haijamenywa maganda yake. Kwa hapa Tanzania, hulimwa zaidi katika mikoa ya nyanda za juu kusini na baadhi ya mikoa kama Kilimanjaro, baadhi ya maeneo ya mkoa wa Manyara, Morogoro na kwingineko. Pia kama bidhaa inapatikana nchi nzima kwa bei nafuu kabisa na kila mtu mwenye uwezo wowote wa kiuchumi anaweza kununua aidha kwa kipande kimoja, fungu au hata kwa kilo. Tangawizi inatumikaje? Mmea huu unaweza kuonekana kama wa kawaida na watu kuutumia tu…

Dawa ya pumu (Asthma)

Karafuu Tiba ya Pumu (Asthma)

Pumu huathiri sehemu ya kupitisha hewa kwenda kwenye mapafu ya binadamu zinazojulikana kitaalamu kama bronchioles. Pumu husababisha kuvimba kwa kuta za mirija kupitishia hali inayopelekea kupungua kwa njia ya kupitishia hewa, na hivyo humfanya muathirika kushindwa kuvuta na kutoa Fahamu Zaidi hewa nje na hatimae kupumua kwa shida sana Ikiwa huna maradhi ya pumu tafadhali share na watu wengine ambao wenye maradhi hayo watafaidika. Hii ni dawa ya pumu mujarab kwa uwezo wa Allah kwa wale wenye maradhi ya pumu, imevumbuliwa na Muhandisi (Engineer) kutoka Sudan ambaye alikuwa na maradhi…

Tiba ya kwikwi

Tiba ya Kwikwi

Tiba ya Kwikwi Habari ndugu yangu. Karibu Tiba asili, Kupitia post hii leo utajifunza tiba ya Kwikwi, Kwikwi ni kitu gani? Kwikwi (Kekefu) ni hali ya kushtuka na kusinyaa kwa ghafla kwa misuli mikuu ya upumuaji (diaphragm) ambako hujirudia rudia na kusababisha hewa kuingia kwa kasi kwenye mapafu. Hali Hii husababisha milango ya sauti katika koo (vocal cords or voice making cords) kufunga ghafla na kutoa sauti inayosikika wakati wa kwikwi. Kwikwi sio ugonjwa, kwikwi ni ya muda mfupi ambayo inapita, lakini kwikwi isiyokatika inaweza kuwa dalili ya tatizo lingine…