Dawa ya pumu (Asthma)

Karafuu Tiba ya Pumu (Asthma)

Pumu huathiri sehemu ya kupitisha hewa kwenda kwenye mapafu ya binadamu zinazojulikana kitaalamu kama bronchioles.

Pumu husababisha kuvimba kwa kuta za mirija kupitishia hali inayopelekea kupungua kwa njia ya kupitishia hewa, na hivyo humfanya muathirika kushindwa kuvuta na kutoa

Fahamu Zaidi

hewa nje na hatimae kupumua kwa shida sana

Ikiwa huna maradhi ya pumu tafadhali share na watu wengine ambao wenye maradhi hayo watafaidika.


Hii ni dawa ya pumu mujarab kwa uwezo wa Allah kwa wale wenye maradhi ya pumu, imevumbuliwa na Muhandisi (Engineer) kutoka Sudan ambaye alikuwa na maradhi haya na alikuwa akibanwa na pumu sana ikikaribia kuomba mauti hasa wakati wa kubadilika hali ya hewa.


Kuna watu wameshajaribu dawa hii na imewafaa mmoja alikuwa njiani akipelekwa hospital kutiliwa oxygen na mwingine akitumia inhaler na wote wamepona baada ya kutumia dawa hii.


Utengenezaji Wa Dawa ya pumu


Chukuwa karafuu 6 zitowe vichwa vyake kisha loweka hizo karafuu katika nusu gilass ya maji usiku kisha unakunywa maji yake asubuhi kabla hujala kitu.
Fanya hivyo kwa muda wa siku 15.

Sisemi kuwa itampa nafuu mgonjwa bali inamponyesha kabisa kwa uwezo wa Allah.


Usifanye ubakhili kuwatumia wengine au kuisambaza ili na watu wengine wapate manufaa nawe Allah atakupa fungu lako in shaa Allah!!!


Rukhsa kunakili kuisambaza kuwajuza wengine waijue iwe sadaka yenye kuendelea kwetu sote in shaa Allah!!!!

Related posts

Leave a Comment