Description
chopra – dawa ya bawasiri (vinyama sehem za siri).
Chopra ina mchanganiko wa dawa 11 na mafuta aina tano,
dawa hii ni mijarrabu kwa matatizo ya bawasiri (hemorrhoids) – kutokwa na vinyama sehemu za siri
Matumizi (dawa ya bawasiri).
tumia vijiko viwili vidogo vya dawa mara 2 kwa siku kwenye kikoimbe 1 cha uji maziwa au maji ya moto
weka chopra oil kwenye leso (handkerchief) au karatasi
weka leso au karatasi yenye dawa sehem yenye ahtari wakati wa kulala valia chupitaiti ili isihame
ondoa leso au karatasi asubuhi.
Soma Makala zetu mbali mbali kuhusu magonjwa na tiba
Reviews
There are no reviews yet.