Faida za Habbat Sauda

habbat soda

Itumieni habba (chembe) hii, hakika ndani yake muna shifaa (ponyo) ya kila aina ya ugonjwa isipokuwa mauti.(Al-Bukhaariy) Kunyonyoka Nywele Ataukanda unga wa Habbat-Sawdaa katika juisi ya chirichiri   pamoja na kijiko cha siki nyepesi na kikombe cha mafuta ya zeituni, halafu asugue kichwani kwa mafuta hayo kila siku jioni pamoja na kukiosha kichwa kwa maji na sabuni kabla ya kupaka. Maumivu ya Kichwa Atachukua unga wa Habbat-Sawdaa, karafuu iliosagwa nusu ya kiwango cha Habbat-Sawdaa  na anisuni (anise), halafu achanganye pamoja. Achukue kiasi cha kijiko kimoja (cha chai), wakati wa kuumwa na…