Maelezo
mchanganyiko wa dawa kubwa za asili zinazotibu maradhi sugu ya kina mama (mwanamke)
– > kusafisha mfumo wa uzazi
–> kizibua mirija ya uzazi
-> kuondoa uvimbe kwenye mfuko wa uzazi
-> hedhi zisizo na mpango mpangilio au zinazo ambatana na maumivu makali
na homa
kutoshika mimba na ikishika ina poromoka (ina haribika)
maumivu makali wakati wa tendo au kutohisi hamu kabisa
Matumizi
Tumia vijiko vidigo 2×2 ndani ya kikombe kimoja cha uji, maziwa , maji moto kwa siku