FAHAMU KARANGA, MIHOGO NA NAZI

FAIDA ZA NAZI MIHOGO NA KARANGA

UMUHIMU WA KARANGA MIHOGO (MIBICHI) PAM0JA NA NAZI KATIKA MWILI WA MWANAUME

KILA KIMOJA KINA FAIDA KATIKA MWILI WAKILA MWANADAMU LAKINI KWA WENGI WETU TUNA AMINI NI WANAUME TU ILAKINI KILA MOJA NA PASWA KUTUMIA NAZI KARANGA PAMOJA NA MIHOGO KILA KIMOJA KINA FAIDA

FAIDA YA NAZI

  • HUSAIDIA VIUNGO KUWA NA NGUVU
  • PIA HUUPA UTUMBO NGUVU
  • HUSAIDIA KWA ASILIA KUBWA KUPUNGUZA  UCHOVU

FAIDA YA KARANGA (MBICHI)

1  Kuimarisha afya ya moyo
2. Hupunguza kolestro mbaya mwilini na kuongeza kolestro nzuri.
3. Mafuta mazuri yaliyomo kwenye karanga hupunguza shinikizo la juu la damu
4. Huponya magonjwa ya moyo
5. Hupunguza uzito.

FAIDA YA MIHOGO (MIBICHI)

Related posts

Leave a Comment