Kitunguu Maji Tiba ya Kwikwi (Hiccups)

Dawa Ya Kwikwi (Hiccups)

Karibu upate taaluma. Tafdhali soma Hadi mwisho kuna maelekeo ya jinsi Kituunguu maji kinavyotibu tatio la Kwikwi : Kwikwi (Kekefu) hutokea kutokana na kushtuka na kusinyaa kwa ghafla kwa misuli mikuu ya upumuaji (diaphragm) ambako hujirudia rudia na kusababisha hewa kuingia kwa kasi kwenye mapafu. Hii husababisha milango ya sauti katika koo (vocal cords or voice making cords) kufunga ghafla na kutoa sauti inayosikika wakati wa kwikwi. Kwikwi sio ugonjwa; kwikwi ya muda mfupi ni kero ndogo tu ambayo inapita, lakini kwikwi isiyokatika inaweza kuwa dalili ya tatizo lingine ambalo…