Dawa ya pumu (Asthma)

Karafuu Tiba ya Pumu (Asthma)

Pumu huathiri sehemu ya kupitisha hewa kwenda kwenye mapafu ya binadamu zinazojulikana kitaalamu kama bronchioles. Pumu husababisha kuvimba kwa kuta za mirija kupitishia hali inayopelekea kupungua kwa njia ya kupitishia hewa, na hivyo humfanya muathirika kushindwa kuvuta na kutoa Fahamu Zaidi hewa nje na hatimae kupumua kwa shida sana Ikiwa huna maradhi ya pumu tafadhali share na watu wengine ambao wenye maradhi hayo watafaidika. Hii ni dawa ya pumu mujarab kwa uwezo wa Allah kwa wale wenye maradhi ya pumu, imevumbuliwa na Muhandisi (Engineer) kutoka Sudan ambaye alikuwa na maradhi…

Kitunguu Maji Tiba ya Kwikwi (Hiccups)

Dawa Ya Kwikwi (Hiccups)

Karibu upate taaluma. Tafdhali soma Hadi mwisho kuna maelekeo ya jinsi Kituunguu maji kinavyotibu tatio la Kwikwi : Kwikwi (Kekefu) hutokea kutokana na kushtuka na kusinyaa kwa ghafla kwa misuli mikuu ya upumuaji (diaphragm) ambako hujirudia rudia na kusababisha hewa kuingia kwa kasi kwenye mapafu. Hii husababisha milango ya sauti katika koo (vocal cords or voice making cords) kufunga ghafla na kutoa sauti inayosikika wakati wa kwikwi. Kwikwi sio ugonjwa; kwikwi ya muda mfupi ni kero ndogo tu ambayo inapita, lakini kwikwi isiyokatika inaweza kuwa dalili ya tatizo lingine ambalo…