Njia za uzazi wa mpango wa asili

Uzazi wa mpango kwa njia za asili

UZAZI WA MPANGO KWA NJIA ZA UZAZI WA ASILI “BILLINGS OVULATION ME”Ili kujifunza njia hii vizuri, ni vyema kuvifahamu vizuri viungo vya uzazi vya mwanamke na jinsi vinavyofanya kazi. Viungo vya uzazi vya kike: Hypothalamus Glandi ya Pituitary Tumbo la uzazi Ngozi nyororo Mlango wa tumbo la uzazi Uke Mirija miwili Vifuko viwili vya vijiyai Vijifuko vya vijiyai na vijiyai Msichana anazaliwa na vijiyai vingi, lakini vyote ni vichanga. Wakati wa kubalehe viungo hivi vinaanza kushirikiana na kuwa na mahusiano kama ifuatavyo:- Sehemu ya ubongo iitwayo Hypothalamus, inaamsha Pituitary Gland                 …

Tiba ya jino bila kung’oa

Tiba ya Jino Bila kung'oa

Usiteseke Meno au Jino linalouma, Tiba Hii Hapa!Meno ni muunganiko wa mfupa wa jino, Fizi na Mishipa. Maranyingi watu wengi huwa pale wanapoumwa na jino wanakimbilia kung’oa jino eti dawa ya jino kuling’oa jambo ambalo si kweli.Tambua ndugu yangu kuwa unapokwenda kung’oa jino unang’oa Mfupa sio Fizi wala mishipa ambayo hakuna madhara kwa bakteria ndio waasababisha jino kuuma. Tambua kuwa kwenye kinywa cha Mwanadamu kuna Bakteria wanaoishi mdomoni wanaitwa *NORMAL FRALER*. Bakteria hawa ndio wanaotengeneza ute wenye Acid unaolainisha chakula kwa haraka mdomoni. Na ndio kazi yao. Lakini wanasababisha Uonjwa…