Tiba ya siki ya tufaha

Tiba ya siki ya apple

Siki ya Tufaha ni tiba ya harufu ya mwili unaweza kuiogaWatu wengi wamekuwa wakinilalamikia kusumbuliwa na harufu mwilini, hii hapa ni tiba inayotibu tatizo hilo kama una uwezo tumia kwa wiki mara moja au mara mbili kuioga itakusaidia, nasema uwezo kwasababu si rahisi sana kuipata ila ipo na inauzwa maduka makubwa ya vyakula.Jinsi ya kuogaChukua kikombe kimoja au viwili vya siki ya tufaha ‘Apple’ weka kwenye maji ya moto au uvugu uvugu kisha acha kwa muda wa dakika 20 au 30 baada ya hapo chukua nguo iloweke na uusugue mwili…

Faida muhimu za asali

Tiba ya asali

Asali inafahamika kwa muda mrefu kama chakula muhimu ambacho pia kinasaidia sana katika kupambana na magonjwa mbalimbali na matatizo yatokanayo na uzee. Kwa mujibu wa tafiti mpya za wataalamu wa madawa lishe na vifaa tiba, jarida la World News limeandika kuwa asali inauwezo mkubwa wa kutibu kama itachanganywa na mdalasini. Asali ikishachanganywa na mdalasini pamoja na mafuta ya vuguvugu ya mzaituni, hutoa kichocheo maridhawa cha kuotesha nywele kinachotumika katika dawa ya Dork ambapo mchanganyiko huo unapakwa kwa kusugua kichwani na kuachwa kwa dakika 15. Kwa mujibu wa watafiti wa madawa…

Faida za Habbat Sauda

habbat soda

Itumieni habba (chembe) hii, hakika ndani yake muna shifaa (ponyo) ya kila aina ya ugonjwa isipokuwa mauti.(Al-Bukhaariy) Kunyonyoka Nywele Ataukanda unga wa Habbat-Sawdaa katika juisi ya chirichiri   pamoja na kijiko cha siki nyepesi na kikombe cha mafuta ya zeituni, halafu asugue kichwani kwa mafuta hayo kila siku jioni pamoja na kukiosha kichwa kwa maji na sabuni kabla ya kupaka. Maumivu ya Kichwa Atachukua unga wa Habbat-Sawdaa, karafuu iliosagwa nusu ya kiwango cha Habbat-Sawdaa  na anisuni (anise), halafu achanganye pamoja. Achukue kiasi cha kijiko kimoja (cha chai), wakati wa kuumwa na…